Pastoral Ministry category: 1680 books

Cover of Mguso Mzuri Wa Upako
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 25, 2018

"Kama Mkristo, mguso mkubwa na mzuri maishani mwako unatakiwa kuwa Roho Mtakatifu. Kitabu hiki kinakuwezesha kuelewa jinsi gani tabia yako, dhamira yako, ubunifu wako na hata uwezo wako wa kuwa mtakatifu unaweza kushawishiwa na Roho Mtakatifu. Kupitia kitabu hiki cha ajabu cha Dag Heward–Mills,...
Cover of Stadi ya Huduma
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Kujenga ustadi ni kujenga uwezo au ujuzi. Biblia inasema kwamba kibali huja kwa watu wenye ujuzi. Kazi ya huduma huhitaji uwezo mkubwa. Kitabu hiki kipya, "Stadi ya Huduma" ni rasiliamali inayohitajika sana kwa wale wote wanaotamani kufanya kazi ya huduma. Inawasilisha vizuri mawazo yapi...
Cover of Jinsi ya Kutangua Laana
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Mwenye Kitu Atapewa, Naye Asiye Na Kitu, Hata Kile Alicho Nacho Atanyang'anywa
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 25, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Namna Unavyoweza Kuwa Mkristo Aliyehodari
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 8, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Nguvu ya Damu
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 15, 2018

"Biblia inazungumzia aina nyingi za damu: damu ya mbuzi, damu ya kondoo, damu ya njiwa! Biblia pia inasema wazi wazi kwamba pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo la dhambi. Je, aina yoyote ya damu miongoni mwa damu hizi inaweza kuondoa dhambi zetu? Jibu ni 'Hasha!" "Sasa nini kinaweza...
Cover of Sanaa ya Kufuata
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 15, 2018

"Kumfuata Mungu ni safari ya kusisimua ya ugunduzi. Kufuata na kuiga watu wengine ni sanaa za toka jadi za kujifunza ambazo Yesu Kristo alichagua kama kanuni yake kuu ya kufundisha watu. Badala ya kujitenga na mbinu hii ya kujifundisha ambayo imetumiwa kwa muda mrefu, ni wakati wa kuelewa uzuri...
Cover of Kusamehe Kumerahisishwa
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 8, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Jinsi Ya Kuzaliwa Mara Ya Pili na Kukwepa Kuzimu
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 8, 2018

Kitabu hiki ni mwongozo mkuu kwa kuelewa wokovu kupitia Yesu Kristo. Katika kitabu hiki cha kipekee, utaelewa ni kwa jinsi gani Yesu anavyokupenda, namna unavyoweza kuokoka, namna unavyoweza kuepuka kwenda kuzimu na nini maana ya kuwa kiumbe kipya katika Yesu Kristo. Mpe mtu yeyote kitabu hiki na wataelewa nini maana ya kuokolewa kupitia damu ya Yesu Kristo.
Cover of Wale Wenye Kiburi
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Unyenyekevu ni sifa muhimu ya kiroho. Watu wachache walijaribu kuandika juu ya hii sifa ya kiroho ambayo si dhahiri ila muhimu. Katika juzuu hii mpya ya kusisimua, Dag Heward-Mills alifunua aina nyingi ya kiburi zinazotatiza. Hiki Kitabu kizuri, kilichoandikwa na mwenza Mkristo anayepambana pia, kitakubariki na kukutia moyo kujenga unyenyekevu wa kitoto wa Yesu Kristo.
Cover of Jinsi Unavyoweza Kutimiza Huduma Yako
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Eneza Huduma Yako Kwa Miujiza na Udhihirishaji wa Roho Mtakatifu
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 16, 2018

Je, nguvu zisizo kawada zipo hadi leo? Je, naweza kufanya mambo kupitia nguvu hiyo isio ya kawaida? Je, kama Mungu bado anawaponya watu, kwa nini hamponyi kila Mtu? Nawezaje kupata au kupokea upako wa uponyaji? Gundua majibu juu ya maswali haya na megnine mengi juu ya udhihirisho wa Roho Mtakatifu kupitia kurasa za kitabu hiki chenye kusisimua kilichoandikwa na Dag Heward-Mills.
Cover of Wale Wana ambao ni Hatari
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

"Pengine mmoja wa maadui wakubwa ambaye utawahi kukutana naye ni "mshtaki kati ya ndugu". Pokea maelekezo juu ya namna silaha hii ya mashtaka inavyotumiwa na ujifunze namna ya kuishinda, unavyosoma kitabu hiki cha kiwango cha juu, cha Dag Heward- Mills.
Cover of Namna ya Kuomba
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: August 8, 2018

Je niombe kwa namna gani? Niombe kuhusu nini? Kwa nini maombi ni fumbo kiasi hicho? Ninawezaje kuomba kwa muda mrefu? Je, Mungu hajui ninachohitaji tayari? Nini kitatokea nisipoomba? Maombi yangu yatajibika kwa kweli?" Gundua majibu kwa maswali haya unapopitia kitabu hiki elekezi na cha muda sahihi uhakika kilichoandikwa na Dag Heward-Mills.
First 76 77 78 79 80 81 8283 84 85 86 87 88 Last
We use our own "cookies" and third party cookies to improve services and to see statistical information. By using this website, you agree to our Privacy Policy