Pastoral Ministry category: 1680 books

Cover of Ndoa ya Mfano Wa Kuigwa
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 16, 2018

Usiku mmoja, wakati akiwa ni mwanafunzi wa utabibu katika mji mmoja huko Ghana, katika hali ya mwujiza Mungu alimpaka mafuta Dag Heward-Mills wakati alipokuwa akimsubiri Bwana. Alipakwa mafuta kwa namna isiyo ya kawaida na kusikia maneno, “Tangu sasa na kuendelea unaweza kufundisha…” Wito huu usio wa kawaida ndio uliomwongoza kwenye huduma iliyosambaa duniani kote.
Cover of Mpakwa Mafuta na Upako Wake
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Stadi Ya Uongozi
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 7, 2018

Wito kwenye huduma ni wito kwenye uongozi. Mara nyingine tena pamoja na njia rahisi na ya msingi, Dkt. Heward- Mills anaelezea kanuni ambazo zimemfanya awe kiongozi Mkristo bora. Ukweli uliofunuliwa hapa zitawahamasisha wengi kwenye stadi ya uongozi.
Cover of Hatari za Kiroho
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: August 8, 2018

Mkristo hutembea katikati ya hatari nyingi, mitego na mitambo. Kitabu hiki kitafumbua macho yako kwa hatari nyingi za kutatiza zinazoongoja kutuumiza, kutujeruhi na kutuharibu. Jisaidie, Jiokoe na jiondoe kupitia kitabu hiki cha nguvu kuhusu hatari za kiroho!
Cover of Kitabu Cha Mistari Ya Bibilia Ya Kukariri
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 16, 2018

Usiku mmoja, wakati akiwa ni mwanafunzi wa utabibu katika mji mmoja huko Ghana, katika hali ya mwujiza Mungu alimpaka mafuta Dag Heward-Mills wakati alipokuwa akimsubiri Bwana. Alipakwa mafuta kwa namna isiyo ya kawaida na kusikia maneno, “Tangu sasa na kuendelea unaweza kufundisha…” Wito huu usio wa kawaida ndio uliomwongoza kwenye huduma iliyosambaa duniani kote.
Cover of Waitwao ni Wengi
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Kwa kweli Mungu amewaita watu wengi. Maisha yetu duniani ni fursa ya kumtumikia, na Mungu anaangalia vitu unavyofanya kwa ajili ya Ufalme wake. Kitabu hiki kinachagamsha usomaji. Ukihifadhi akilini mawazo ya ukweli yaliyoandikwa na mwandishi, utapokea hekima kutumia fursa ya maisha yako kwa njia sahihi.
Cover of Namna Ambavyo Unaweza Kuwa na Muda wa Faragha Vizuri na Mungu Kila Siku
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 16, 2018

Dkt. Dag Heward-Mills, kiongozi Mkristo wa kipekee, anafichua moja wapo ya siri zake. "kama mtu angeniuliza siri kubwa ya mahusiano yangu na Mungu ni nini, ningesema, bila kusita kwamba ni nguvu ya muda wa faragha ninaokuwa naye kila siku". Ameamua kuandika kitabu hiki ili nawe uweze kunufaika kutokana na nguvu ya muda wa faragha.
Cover of Siri za Ushindi
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Laikos: Watenda Kazi wa Kawaida na Huduma
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Neno la Kigriki LAIKOS linamaanisha "kutokuwa na ujuzi". Historia imetufundisha tena na tena kwamba mambo makubwa yamefanyika na watu "wasio na ujuzi". Jifunza, kupitia kitabu hiki cha kipekee cha Dag Heward-Mills, Nini kinatokea kama hakuna watu wa kawaida wakifanya kazi kanisani;...
Cover of Wengine...
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Inamaanisha Nini kuwa na Busara kama Nyoka
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Stadi ya Usikivu [toleo la 2]
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 8, 2018

Hakuna somo lenye umuhimu zaidi ya kuwa ndani ya mapenzi makamilifu ya Mungu. Kitu kimoja ambacho kitawatofautisha wahudumu wa injili ni uwezo wao wa kusikia sauti ya Mungu kwa usahihi. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kufuata Roho Mtakatifu katika mapenzi makamilifu ya Mungu. Pale unapokuwa ndani ya mapenzi...
Cover of Mrembo, Mnyama na Mchungaji
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 8, 2018

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills,...
Cover of Kitabu cha Sherehe
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 16, 2018

Usiku mmoja, wakati akiwa ni mwanafunzi wa utabibu katika mji mmoja huko Ghana, katika hali ya mwujiza Mungu alimpaka mafuta Dag Heward-Mills wakati alipokuwa akimsubiri Bwana. Alipakwa mafuta kwa namna isiyo ya kawaida na kusikia maneno, “Tangu sasa na kuendelea unaweza kufundisha…” Wito huu usio wa kawaida ndio uliomwongoza kwenye huduma iliyosambaa duniani kote.
First 75 76 77 78 79 80 8182 83 84 85 86 87 Last
We use our own "cookies" and third party cookies to improve services and to see statistical information. By using this website, you agree to our Privacy Policy