Discipleship category: 1076 books

Cover of Jivutie Upako
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Hii kitabu ya kipekee na Dag Heward-Mills atawafundisheni nini maana ya kupata upako na jinsi gani unaweza kuwa mafuta kwa ajili ya huduma. Kujifunza jinsi ya kukamata upako kwa ajili ya kazi ya huduma. Kitabu hiki ni lazima kwa kila mhudumu.
Cover of Kanisa Kubwa
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Shetani anatka kanisa lako kubakia ndogo. Jinsi una watu wachache katika mkutano wako ndivyo alivyo na mateka wengi. Kima cha kanisa lako kinakuonyesha ni kwa kiwango kipi unapunguza idadi ya watu jehanamu. Wakati una kanisa kubwa, inamaanisha kwamba unajenga roho. Pia inamaanisha kwamba roho zaidi...
Cover of Makosa Kumi Makuu Ambayo Wachungaji Wanafanya
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Bibilia inatuamabia kwamba sisi sote tunafanya makosa mengi- wakiwamo pia wachungaji. Makosa yana uwezo wa kukurudisha nyuma badala ya kwenda mbele. Kosa linaweza kukuzuia kuendelea. Ni makosa yapi mchungaji anaweza kuyafanya? Ni makosa yapi ambayo yanaweza kuwa makosa kumi makuu ya mchungaji? Unakaribishwa...
Cover of Stadi ya Uchungaji
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Ikiwa wewe ni mchungaji wa kondoo za Mungu, utasaidiwa pakubwa na kazi hii iliyozingatiwa vyema. Kurasa hizi zina maelekezo ya kina na iliyochaguliwa kwa makini, muhimu kwa kufaulu. Kurasa hizi zina maelekezo ya kina na iliyochaguliwa kwa makini, muhimu kwa kufaulu. Dag Heward-Mills anatoa kutoka...
Cover of Badilisha Huduma yako ya kiuchungaji
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Hakika hiki ni kitabu cha ukaribisho. Askofu Dag Heward- Mills, yeye mwenyewe akiwa mchungaji pia, anaelezea ni kwa nini na jinsi gani unaweza kuifanya huduma ya uchungaji iwe bora zaidi.
Cover of Kuanzisha Kanisa
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Upandaji makanisa ni jambo la kiajabu ambalo limeenea kati ya watumishi wenye haiba. Ilikuwa shughuli kuu ya wafuasi wa kale. Upandaji kanisa uliofaulu, hata hivyo, unadai ujuzi na unakumbatia sababu nyingi. Dag Heward-Mills anachambua vipengeleze mbalimbali vya upandaji kanisa katika kitabu hiki....
Cover of Hatua Za Kufikia Upako
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Unatamani kuwa mpakwa mafuta? Katika kitabu hiki cha kihistoria, Dkt Dag Heward-Mills anagawa hatua kadhaa za hadi kupokea upako. Kitabu hiki kwa hakika kitakuwa cha baraka kwako na utumishi wako. Gundua hatua unazohitaji kuchukua ili uwe mpakwa mafuta.
Cover of Anagkazo (Nguvu ya Kulazimisha!)
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Jifunze kuhusu hii nguvu ya kushurutisha ambayo inaufanya uinjilisti uwe mzuri na mafanikio hata ikiwapo mapingamizi, kisingizio, tuhuma, chuki nk. Kitabu hiki kilichoandikwa na Dag Heward-Mills kinaweza kukufanya uwe mvuna nafsi kuliko ulivyowahi kuwa.
Cover of Wale wanaokushitaki
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

"Pengine mmoja wa maadui wakubwa ambaye utawahi kukutana naye ni "mshtaki kati ya ndugu". Pokea maelekezo juu ya namna silaha hii ya mashtaka inavyotumiwa na ujifunze namna ya kuishinda, unavyosoma kitabu hiki cha kiwango cha juu, cha Dag Heward- Mills.
Cover of Waambie
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Mashamba ni meupe na mavuno ya roho yameiva, lakini je, wako wapi wahubiri? Kitabu kipya cha Dag Heward-Mills kinachovutia ni mwito wa ddharura kwa Wakristo ike wawe washinda roho.
Cover of Wale Wanaokuacha
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Watu wanaokuacha wanaweza kukuharibu. hakuna kitu kinachoweza kuelezea hisia ya mfadhaiko, kuchangayikiwa na mhangaiko ambazo hushuka wakati watu wanakuacha. Kitabu hiki kimeandikwa kukusaidia kupambana na uharibifu ambao unaachiliwa wakati watu wanapokuacha. Usidanganye. Kutelekezwa au kuachwa sio...
Cover of Wale Wanaosahau
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Watu wengi wanafamu kuhusu dhambi "nne kuu": kudanganya, kuiba, usherati na kuua. Ikiwa waweza kuuliza watu wakupe orodha ya dhambi sio kwa urahisi wao kutaja dhambi ya kusahau. Lakini Neno la Mungu liko wazi kuhusu jambo hili. Kusahau sio uadilifu! Kusahau, kukosa kukiri, kukosa kukumbuka ni dhambi mbele za Mungu.
Cover of Wale Wanaojifanyisha
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Kanisa zimejazwa na wanafiki ambao huwa wakosa ushikamanifu. Ufunguo mkuu wa shetani kwa kila wakati umekuwa udanganyifu na unafiki. Kiongozi ambaye hawezi ona ndani ya barakoa ya mnafiki atateseka kwa upofu wake. Vitisho, kufahamiana na mkanganyiko ni roho mbaya ambazo kupambana na watumishi. Wakati...
Cover of The Holy Spirit & Your life In God: The Reflowable Edition
by L.G. Carter
Language: English
Release Date: August 31, 2016

Classic Spirit-Filled TeachingThis is the pure teaching from the beginning of the movement which changed Christianity in the 20th century and on to today. Before the emotional excesses, headship, prosperity, and the rest of the aberrations were the original lives changed by direct daily walking with...
First 41 42 43 44 45 46 4748 49 50 51 52 53 Last
We use our own "cookies" and third party cookies to improve services and to see statistical information. By using this website, you agree to our Privacy Policy