Mills: 1566 books

Book cover of Out of Darkness: The Song of my Heart
by Michelle Close Mills
Language: English
Release Date: November 11, 2016

When I was a 12 year old child-having barely reached puberty, I was having a sexual relationship with a 42 year old man-a pastor. I was ripe for the picking. A pedophile's dream.I needed a father. Having little interaction with my own, I didn't that what was happening between us was wrong....
Book cover of Concise Handbook of Literary and Rhetorical Terms
by Michael Mills
Language: English
Release Date: March 30, 2010

The Concise Handbook of Literary and Rhetorical Terms is a must-have reference, providing concise, yet clear definitions of nearly 1600 terms with examples from over 700 authors and literary works.
Book cover of Scattered Thoughts from a Scattered Mind

Scattered Thoughts from a Scattered Mind

Volume Iv Prime Redefined

by David Mills
Language: English
Release Date: September 30, 2014

David Mills was unavailable to compose the copy for this installment's back cover. Word has it he was busy riding his bike.
Book cover of Kupoteza, Kuteseka, Kujitoa Dhabihu Na Kufa
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 26, 2016

Wachungaji wanashinikizwa kuwafurahisha na kuwapendeza washirika wao kwa habari njema. Shinikizo hii ya watu imesababisha kubadilisha kwa maneno ya Kristo mpaka imekuwa vigumu kutambua ujumbe wa msalaba. Leo, tunarudi kwa ukweli wa msingi wa Ukristo kwamba tunapaswa "kupoteza" ili "kumpata"...
Book cover of Hatari za Kiroho
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: August 8, 2018

Mkristo hutembea katikati ya hatari nyingi, mitego na mitambo. Kitabu hiki kitafumbua macho yako kwa hatari nyingi za kutatiza zinazoongoja kutuumiza, kutujeruhi na kutuharibu. Jisaidie, Jiokoe na jiondoe kupitia kitabu hiki cha nguvu kuhusu hatari za kiroho!
Book cover of Waitwao ni Wengi
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 7, 2018

Kwa kweli Mungu amewaita watu wengi. Maisha yetu duniani ni fursa ya kumtumikia, na Mungu anaangalia vitu unavyofanya kwa ajili ya Ufalme wake. Kitabu hiki kinachagamsha usomaji. Ukihifadhi akilini mawazo ya ukweli yaliyoandikwa na mwandishi, utapokea hekima kutumia fursa ya maisha yako kwa njia sahihi.
Book cover of Kanisa Kubwa
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Shetani anatka kanisa lako kubakia ndogo. Jinsi una watu wachache katika mkutano wako ndivyo alivyo na mateka wengi. Kima cha kanisa lako kinakuonyesha ni kwa kiwango kipi unapunguza idadi ya watu jehanamu. Wakati una kanisa kubwa, inamaanisha kwamba unajenga roho. Pia inamaanisha kwamba roho zaidi...
Book cover of Makosa Kumi Makuu Ambayo Wachungaji Wanafanya
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Bibilia inatuamabia kwamba sisi sote tunafanya makosa mengi- wakiwamo pia wachungaji. Makosa yana uwezo wa kukurudisha nyuma badala ya kwenda mbele. Kosa linaweza kukuzuia kuendelea. Ni makosa yapi mchungaji anaweza kuyafanya? Ni makosa yapi ambayo yanaweza kuwa makosa kumi makuu ya mchungaji? Unakaribishwa...
Book cover of Itaje! Idai!! Ichukue!!!
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Katika kitabu hiki, mwandishi anamwonyesha muamini funguo kuu ya kupokea upenyo wa kiroho, kimwili, kiuchumi na kimali!
Book cover of Nguvu ya Damu
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: May 15, 2018

"Biblia inazungumzia aina nyingi za damu: damu ya mbuzi, damu ya kondoo, damu ya njiwa! Biblia pia inasema wazi wazi kwamba pasipo kumwaga damu hakuna ondoleo la dhambi. Je, aina yoyote ya damu miongoni mwa damu hizi inaweza kuondoa dhambi zetu? Jibu ni 'Hasha!" "Sasa nini kinaweza...
Book cover of Jinsi Ya Kuzaliwa Mara Ya Pili na Kukwepa Kuzimu
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: April 8, 2018

Kitabu hiki ni mwongozo mkuu kwa kuelewa wokovu kupitia Yesu Kristo. Katika kitabu hiki cha kipekee, utaelewa ni kwa jinsi gani Yesu anavyokupenda, namna unavyoweza kuokoka, namna unavyoweza kuepuka kwenda kuzimu na nini maana ya kuwa kiumbe kipya katika Yesu Kristo. Mpe mtu yeyote kitabu hiki na wataelewa nini maana ya kuokolewa kupitia damu ya Yesu Kristo.
Book cover of Ukuaji Wa Kanisa
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Ni nini jukumu kuu la mchungaji? Je, ni kufanya mazishi na kusimamia harusi? Kamwe sio! Haya ni majukumu ya mtumishi lakini sio majukumu kuu. Ikiwa utumishi wako umezorota hadi majukumu yako kuu ni kuendesha harusi na kuzika watu, basi unafaa kusoma Biblia yako tena! Jukumu kuu la mtumishi ni kutimiza Utume Mkuu.
Book cover of Wale Wanaokuacha
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Watu wanaokuacha wanaweza kukuharibu. hakuna kitu kinachoweza kuelezea hisia ya mfadhaiko, kuchangayikiwa na mhangaiko ambazo hushuka wakati watu wanakuacha. Kitabu hiki kimeandikwa kukusaidia kupambana na uharibifu ambao unaachiliwa wakati watu wanapokuacha. Usidanganye. Kutelekezwa au kuachwa sio...
Book cover of Wale Wanaosahau
by Dag Heward-Mills
Language: Swahili
Release Date: July 28, 2016

Watu wengi wanafamu kuhusu dhambi "nne kuu": kudanganya, kuiba, usherati na kuua. Ikiwa waweza kuuliza watu wakupe orodha ya dhambi sio kwa urahisi wao kutaja dhambi ya kusahau. Lakini Neno la Mungu liko wazi kuhusu jambo hili. Kusahau sio uadilifu! Kusahau, kukosa kukiri, kukosa kukumbuka ni dhambi mbele za Mungu.
First 44 45 46 47 48 49 5051 52 53 54 55 56 Last
We use our own "cookies" and third party cookies to improve services and to see statistical information. By using this website, you agree to our Privacy Policy