by
Dardanus Mfalme
Language: English
Release Date: December 26, 2013
Ni kitabu chanye hazina ya mashairi yaliyotungwa na mtunzi aliyebobea katika fani ya utunzi wa nyimbo, tenzi na mashairi. Mtunzi wa kitabu ametunga tungo za kitabu hiki akifuata na kulinda maadili ya lugha ya Kiswahili kwa malengo ya kuelimisha, kuburudisha na kufundisha jamii zote. Usomapo kitabu...